Startup ya Kilimo-Tech Nala Foods Yapata Uwekezaji wa Dola Milioni 2 kutoka Kimataifa
Nala Foods, startup ya Tanzania inayotumia teknolojia kuboresha mnyororo wa usambazaji wa chakula, imepata uwekezaji wa dola milioni 2 kutoka mfuko wa uwekezaji wa Afrika.
Na Jubita Desk | 18 Jun, 2026