Ongezeko hili la bei linachangiwa na mahitaji makubwa ya ufuta katika soko la kimataifa.